Naomba msaada wa internet kwenye Blackberry

Naomba msaada wa internet kwenye Blackberry

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,885
Reaction score
29,675
Habari wana Jukwaa

Naomba msaada ni namna gani naweza tumia huduma za vifurushi vya internet kwenye simu Yangu bila kujiunga na special bundle LA blackberry.

Natanguliza shukrani.

Cc Wadau wote wa Gadgets
 
Iyo njia km ningekuwa naijua na mm ningetumia kitambo. Hakuna simu nnayoipenda km blackberry
 
piti hayo maelezo utafanya download blackberry desktop manager kisha install connect simu yako ingia servicebook kwenye simu yako kisha shikilia alt +SBEB itatokea legacy sb enabled kisha fumgua blackberry desktop manager restore hilo file la servicebook
 
Habari wana Jukwaa

Naomba msaada ni namna gani naweza tumia huduma za vifurushi vya internet kwenye simu Yangu bila kujiunga na special bundle LA blackberry.

Natanguliza shukrani.

Cc Wadau wote wa Gadgets

Unatumia mtandao gani?
 
unatumia blackberry desktop manager version ngap

Version 6,nimefanikiwa kurestore hilo file muda huu nimepita kwenye restore kuna hiyo ya kurestore service book sasa tatizo kwenye maelezo inaonyesha ukisharestore utaona service book 2 lakn kwangu naziona kibao au ukisha minya alt s b e b unafuta data za kwenye service book !!!???
 
kabla hujarestore ndo una hold alt na sbeb ukuwa kwenye service book Kisha una restore kama imekubari utaona neno browser config hapo utaingia browser then uta set browser kwa baadhi ya BB sio zote then try kusurf
 
Back
Top Bottom