Naomba msaada wa haraka

Emma M Bai

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
223
126
Nimeibiwa simu naomba wataalam wanisaidie kuipata zawadi nono itatolewa
Jina la simu Tecno ca6 camon cm

Imei number ninazo.

kwani nilienda police lakin sikupata ushirikiano wowote RB ya police ninayo kwa atakaye fanikisha zoezi atafurahi.

Naomba kuwasilisha
 
Pole sana mkuu, hiyo pesa ya zawadi nono bora kanunue simu ingine mpya.

Hata ukipewa RB, mzunguko na usumbufu wa jamaa wa Cyber utajuta, na uhakika wa kuipata simu sio mkubwa sana.
 
Pole sana mkuu, hiyo pesa ya zawadi nono bora kanunue simu ingine mpya.
Hata ukipewa RB, mzunguko na usumbufu wa jamaa wa Cyber utajuta, na uhakika wa kuipata simu sio mkubwa sana.
Hapa police tu mtu ambae nilikabidhiwa afuatilie tiyari nimeshamlipa laki 1
 
Hapa police tu mtu ambae nilikabidhiwa afuatilie tiyari nimeshamlipa laki 1
Kwa simu ya bei hyo watakulia hela tu. Achana nao. Ingekua simu ya hela nyingi hapo sawa. Alaf kma hzo tecno watu wanabadilisha imei number fasta
 
Umezingua sana mkuu, polisi wa Tz watakupiga tu. Hiyo laki 1 bora ungeongeza ukanunua nyjngine.
 
Da pole sana mzee hiyo simu kuipata n 50/50 lakini polisi wan uwezo wa kuipata ila sio kirahisi pia itachukua muda mrefu sana tatizo lingine litakuja pale aliekuibia kama n mtaalamu pia wa technology anweza badili imei hapo utakua huna chako tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom