Naomba msaada wa haraka wakisheria wana JF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba msaada wa haraka wakisheria wana JF

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by sunshine1, Aug 23, 2012.

 1. sunshine1

  sunshine1 JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 523
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  Nina ndugu yangu aliolewa zaidi ya miaka 20 iliyopita. Mume hakuwa na hata senti pindi wanaoana. mwanamke alianza biashara ya mtumba ndipo wakapata mtaji mwanaume akaanzisha biashara sitaitaja ila ni yahalali Baada ya muda mfupi mambo yaliwanyookea ndipo mume akaanza visa na dharau kwa mkewe. Siwezi kueleza kila kitu hapa ila kwakifupi huyu ndugu yangu (mwanamke) maisha yake yote ya ndoa ni kipigo tu na dharau toka kwa mume. Kesi zake zimekuwa zikimalizwa kifamilia. Ila kwa hali ilipofikia tunaona hapana enough is enough! Tunaomba mtushauri pakuanzia ili hii ndoa ivunjwe na wagawane mali ili kila mtu aendelee na maisha yake. Bado tunampenda huyu ndugu yetu. Amekuwa anapigwa hadi anashonwa nyuzi za usoni na mwilini. Please help and God wil bless you!
  Ndoa ni yakikristo na wana watoto watatu. First born ana around 18 years!
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  wewe unataka wavunje ndoa, wao wameridhia kuvunja ndoa hiyo???

  Haijalishi mtaji ulikuwa wa nani, aliyeandikishwa kwenye nyaraka za biashara kama mmiliki ni nani??

  Note: si mwanasheria mie, nimekaa tu na wanasheria nikajibatiza ka setifiketi ka low.

  Ila hii mada imekaa ki MMU zaidi.
   
 3. sunshine1

  sunshine1 JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 523
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  Mwanamke ndiye anataka ndoa ivunjwe. Hadi leo hii naandika post hii ndugu yangu yuko kwa wazazi baada yakipigo kikali hadi kashwonwa nyuzi. Mume amekuwa akichukua hela zote japo wamekuwa na miradi mbali mbali ila mwanaume ndiye anayecontrol hela. Nadhani hata miradi yote na mali zote kaandika jina lake. Ndugu yangu amefanywa ka mtumwa wakuzalisha tu ila matumizi anacontrol mwanaume! Kwani sheria ya ndoa inasemaje? Hapo ndipo twataka kujua ili tujue pakuanzia!
  Thanks,
   
 4. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 4,109
  Likes Received: 1,499
  Trophy Points: 280
  Kuna watu kama Tamwa au kitengo cha sheria za haki za binadamu wanaweza kumfahamisha taratibu za kufanya kufunga ndoa ya kikiristo sio sababu ya kuendelea na ndoa kama kuna maudhi yasiyosuluhishika wewe mshauri tu ila maamuzi ya mwisho mwachie mwenyewe maana hawachelewi kukugeuka na kusema wewe ndie ulinivunja ndoa yangu
   
 5. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #5
  Aug 25, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,129
  Likes Received: 2,187
  Trophy Points: 280
  Mbna umeongelea upande mmoja wa mwnaume?anyway si support hvyo vipigo bt ungetwambia nini sababu ya huyo ndugu yako kupigwa,imean chazo cha vipigo.
   
 6. sunshine1

  sunshine1 JF-Expert Member

  #6
  Aug 25, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 523
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  Ahsante ndugu. Be blessed!   
 7. sunshine1

  sunshine1 JF-Expert Member

  #7
  Aug 25, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 523
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  Siwezi kaundika hapa kila kitu sbb huu mtandao unasomwa na wengi. Ila ni sababu zakipumbavu sana kusema ukweli! Yaan anaweza kumpiga hata wakiwa kwenye party kisa anasema mbona mwanaume huyu au yule anakuangalia sana n.k! Mi nahisi pia mwanaume ana tatizo la akili!


   
Loading...