franck kamotta
Member
- Feb 9, 2019
- 95
- 114
Wadau naitaji msaada wa dawa ya hvi vipere ni miaka 6 sasa nasumbuka navyo nishahangahika Sana vnapotea na kurudi
OkWakati unasubiri kwenda huko kwa doctor, Tafuta aloe vera, uwe unapaka maji/Utomvu wake asubuhi na jioni baada ya kuoga, Ila usiwe unarudia nguo au kuvaa nguo ambayo haijafuliwa wakati wa matibabu. Ukishapona ukumbuke kuja kusema asante JF.
View attachment 2389963View attachment 2389964
Uko wapi,Kama uko dar tutafutane Kuna dawa nikupatieWadau naitaji msaada wa dawa ya hvi vipere ni miaka 6 sasa nasumbuka navyo nishahangahika Sana vnapotea na kurudi
View attachment 2387453View attachment 2387454
Nilikua navyo ila sasa ni mzima.mpigie nitakutafutia aina ya dawa ukanunueNi dawa gani nitumie