Naomba msaada wa app picha zangu zilifutika

Trial balance

JF-Expert Member
Jun 16, 2020
202
159
Kuna picha nilikuwa nazipenda sana zimefutika nimejaribu Ku aproad app ya diskdigger bado hainiletei picha ninazozitaka sijui kwasababu simu nimeirestore mwanzoni ilikuwa inaniletea picha zangu zote zilizofutika
 
Back
Top Bottom