Michael snow
Senior Member
- Aug 31, 2013
- 102
- 12
HATA MWAKA JANA WALITUANDIKIA. .NOT YET DONE APPLICATION..LKN ILIKUA SUALA LA KIUFUNDI..ACHEN PRESHA..mambo yatakaa sawa... kwa wale mtaochaguliwa UDSM...karibuni...
lakini dalili zimeanza kuonekana.
bado wanachakata.
Hiv mbona mm nkiingia kwangu wananiambia naweza kufanya editin mpk trh 12 mwez huu
Umu wanasema u have successifully been selected but swali ni kwamba ukiclick pale kwenye application unakuta page ya second selection
Asante Mpiga msuli "junior"!Acha upotoshaji wewe kijana uliza ujibiwe na sio kukurupuka.