habari wakuu.......naomba msaada nilikuwa najaribu kumfanyia application mtu UDSM nilipofika mwisho ikaleta hayo maelezo.

samracka

Member
May 23, 2015
17
9
habari wakuu.......naomba msaada nilikuwa najaribu kumfanyia application mtu UDSM nilipofika mwisho ikaleta hayo maelezo, inaonesha kama huyo mtu alishakuwa admitted.
hakuwahi fanya application TCU.
Na ana diploma anaenda degree.
msaada wakuu.
 

Attachments

  • IMG-20180813-WA0003[1].jpg
    IMG-20180813-WA0003[1].jpg
    62.3 KB · Views: 32
Badala uwekeze kwenye issue za maendeleo unataka kumsomesha demu aliyedisco chuo kingine. TCU wamekuumbua lione
 
Fuata maelekezo uliyopewa, umeambiwa wasiliana na tcu, basi fanya hivyo...
 
Hata me pia nmepatwa na tatizo kama lako na sjui chakufanya nimepiga namba za TCU lakini hazipokelewi mkuu na muda unakaribia kuisha zimebaki siku mbili tu
 
Alijiunga last yrs aka disco. Au alimpa mtu vyeti akatumia kujiunga so anasomeka kwny systeam
 
hapo kama alidisco inabidi achukue barua inayomwambia kuwa amedisco kutoka kwenye hicho chuo alichodisco halafu aambatanishe na barua ambayo anajieleza kua alidisco na anaomba wamfanyie deregistration ili aweze kufanyiwa registration upya avipeleke TCU
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom