Herry JM
Member
- Oct 3, 2011
- 95
- 35
kazi ipo,hawa ndo wanafunz wa vyuo vikuu watarajiwa,hv mmepitaje pitaje huko?? We umeielewaje hyo sentensi?
Usishangae ni BRN
kazi ipo,hawa ndo wanafunz wa vyuo vikuu watarajiwa,hv mmepitaje pitaje huko?? We umeielewaje hyo sentensi?
Ndugu nataka kujua kama Tcu washatoa majibu ya vyuo kwa 2liomba
i hope xo mkubwa...mana naskia mtandao wao unazngua xana xaxa sjui wengne tutajuaje kma wa round i mean second sesion au lah..mana hakuna kataarifa inayombia nifanye secnd kma ilvotokea kwa wingne