ELYBARICK MPANDA
Member
- Jul 11, 2014
- 26
- 4
Habari wana jf wote.... Nina umri wa miaka 19 npo kidato cha tano.. Nipo hapa kuomba ushau na msaada kuhusu tatizo langu la kusinzia darasani hasa mwalimu anapokua anafundisha, hasa mida ya mchana hivi ghafla usingz mzito unanishikaga na hua siwez kujizuia mpaka mwalm au rafik yangu anishitue, hata hivyo tatizo la usingizi huendelea kunikumba........ Je ni tatizo la kiafya? Au ni nini chanzo chake japo usiku hua nalala muda wa kutosha tu........ Msaada tafadhal mana hii hali nimeichoka na siihitaji iendelee kunitesa........ Mana mwisho wa kipindi usingizi huisha na hua naamulia patupu kwa kile mwl alichofundisha***
Pole sana hii ni zaidi ya kawaida, nakumbuka hata mimi nilipokuwa high school nilikuwa nasumbuliwa sana na usingizi hasa mwalimu anapofundisha darasani.
Kijana unahitaji sana maombi ili kuondokana na tatizo hili. Hudhuria kanisa lolote la kilokole uombewe hii hali itaondoka na utakuja kuthibitisha hapa.
.........................una minyoo sugu na acha kuwanga usiku au punguza .
acha kumpotosha mwenzio
.........................
Pole sana hii ni zaidi ya kawaida, nakumbuka hata mimi nilipokuwa high school nilikuwa nasumbuliwa sana na usingizi hasa mwalimu anapofundisha darasani.
Kijana unahitaji sana maombi ili kuondokana na tatizo hili. Hudhuria kanisa lolote la kilokole uombewe hii hali itaondoka na utakuja kuthibitisha hapa.
Hapana simpotoshi, kuna mambo mengine magumu kidogo kuyaelezea lakini ni ya kweli, kuna nguvu nyingi zinasumbua watu na hasa spirits kwa watu wa kiroho hii kitu wanafahamu sana.acha kumpotosha mwenzio
Hapana simpotoshi, kuna mambo mengine magumu kidogo kuyaelezea lakini ni ya kweli, kuna nguvu nyingi zinasumbua watu na hasa spirits kwa watu wa kiroho hii kitu wanafahamu sana.
nilipokua chuo nilikua nabhili tatizo,bora yako mchana mi nikishakunywa chai tu ni usingizi mzito sana kwa kwenda mbele.mara nyingi vipindi vya kuanzia saa nne mpaka saa nane kwangu ilikua ni shida au siendi kabisa darasani .nadhani hili ni tatizo la kutokufanya mazoezi vizuri,kula vizuri na kunya maji mengi bila kusahau kulala kwa wakati.