ok hapo jaribu kibadili windows, kuhusu sauti kukwaruza kama hata kwenye head phone na speaker za nje zinakwaruza ujue problem ni sound chip kwenye motherboard, naweza kuibadili kwa kutumia upepo wenye moto na kuweka nyingine au unaweza kununua external sound card mkuu