Naomba msaada tatizo la internet kwenye tecno P5

Naomba msaada tatizo la internet kwenye tecno P5

uludodi

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2014
Posts
576
Reaction score
915
Msaada wana It natumia tecno p5 sasa kuanzia jana sipati internet inaniandikia 'unfortunately massanger stoped. Sasa sijui nimekolofisha wapi? Naomba msaada wenu
 
Jaribu kuirestart (yaani ikiwa on bonyeza power button bila kuachia utapata menu chagua restart kisha simu itazima na kuwaka). Baada ya hapo jaribu internet kama utakubali halafu leta jibu.
 
Tecno zina tabia ya kujiprogram na ku-crush kwa baadhi ya apps. Muda sio mrefu itaanza tabia ya gps kujiwasha no matter how harder you try to switch it off.
Ila kwanza jaribu kufuata ushauri wa mdau hapo juu.
Ikishindikana fanya factory reset (hapo kumbuka kutoa line na memory card)
 
Jaribu kuirestart (yaani ikiwa on bonyeza power button bila kuachia utapata menu chagua restart kisha simu itazima na kuwaka). Baada ya hapo jaribu internet kama utakubali halafu leta jibu.

ahsante nimefanikiwa thanks
 
Back
Top Bottom