Naomba msaada tatizo katika uhakiki rita...

Mwamboro

Member
Jan 4, 2017
33
24
Kwenu wadau;
Nimehakiki cheti changu cha kuzaliwa RITA kwa ajili ya mkopo 2019/2020 na majibu yamerudi na cheti kimeshapigwa muhuri.
Lakini nimegundua kuwa jina langu ninalolitumia katka vyeti vya shule na hili katka cheti cha kuzaliwa limetofatiana kidogo...yan herufi moja ya mwisho katika vyeti vya shule ambayo ni "U" haipo katika cheti cha kuzaliwa

Naomba msaada nini natakiwa kufanya wadau..
Nawasilisha.
 
Ndugu, naomba process za kuhakiki kuanzia mwanzo hadi mwisho "ahsante"
 
Back
Top Bottom