Naomba msaada simu yangu internet inagoma..

Jaslaws

JF-Expert Member
May 31, 2011
6,016
5,284
Habari za jioni wakuu..juzi nimenunua simu kwa MTU kwa bahati mbaya nmejaribu kuaccess internet imegoma kabisa vile vimishale vya internet vinaonekana lakin akuna kitu.. simu ni sumsang j7
Naombeni maaada wenu..
 
Umefanikiwa ama bado?
 
Bado mkuu msaada wako tafadhali.
Simu haiwezi fanya kazi kwenye internet bila kuweka setting za mtandao husika.

Nenda setting kisha kwenye connection tafuta neno mobile network ama cellular network, usipoliona click more network utaliona. Ingia palipoandikwa access point name, angalia zipo setting za internet? Kama hakuna bonyeza alama ya jumlisha ama neno add kama hulioni kuna dots tatu kwa juu ziguse litakuja,

Connection name andika chochote
Apn andika internet

Save ama bonyeza back kisha activate hio setting kwa kuiekea dot kwa mbele.
 
Asante mkuu ngoja nijaribu sikua on line..
 
Nenda settings then mobile networks then access point chagua line unayotaka kuset.

Then select new kama huoni anglia doti tatu za wima upande wa kulia juu.

Baada ya hapo name andika jina large mtandao unaoset na APN andika Internet.

Kisha nenda had it chini tafuta sehemu iliyoandikwa
authentication type weka PAP or CHAP

APN protocol Weka IPv4/IPv6

APN ROAMING PROTOCOL weka IPv4 /IPv6

Then save. Washa data. Kula maisha.

Msaada zaidi anglia screenshots hizi chini......
Screenshot_2018-10-25-22-29-56.jpeg
Screenshot_2018-10-25-22-30-29.jpeg
 
Nenda settings then mobile networks then access point chagua line unayotaka kuset.

Then select new kama huoni anglia doti tatu za wima upande wa kulia juu.

Baada ya hapo name andika jina large mtandao unaoset na APN andika Internet.

Kisha nenda had it chini tafuta sehemu iliyoandikwa
authentication type weka PAP or CHAP

APN protocol Weka IPv4/IPv6

APN ROAMING PROTOCOL weka IPv4 /IPv6

Then save. Washa data. Kula maisha.

Msaada zaidi anglia screenshots hizi chini......
View attachment 910988View attachment 910989
Nashukuru sana mkuu
 
Nawashukuru wote kwa Mchango wenu imekubali mungu awabariki sana asanteni na usiku mwema
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom