Naomba msaada shule ya private science a lavel

jerry monny

Member
Dec 6, 2010
94
0
tafadhalini wandugu naomba mwenye kujua ilipo shule nzuri ya mchepuo wa sayansi.nina mjomba wangu ndio mwenye uhitaji.ada iwe ya jamaa isiwe ya kifisadi tafadhalini kwani uchumi wenyewe sio mzuri kivile.asanteni kwa msaada wenu.
 
Kidato cha ngapi mzee?

Ada siku hzi kwa kweli ni tatizo kubwa dar na shule zinazofaulisha saaana bila ya 3.5m mtoto hajasoma vinginevyo ni kwa akina Kayumba. Inaumiza sana.
 
Kidato cha ngapi mzee?

Ada siku hzi kwa kweli ni tatizo kubwa dar na shule zinazofaulisha saaana bila ya 3.5m mtoto hajasoma vinginevyo ni kwa akina Kayumba. Inaumiza sana.

ndio hizo za kina kayumba naombeni msaada,sio lazima iwe dar,hata mikoa ingine ataenda tu.amemaliza form four ndio anaingia five.hizo za mtoto wa mkulima mimi siwezi jamani nitafutieni za kina kayumba.
 
Back
Top Bottom