The Great Haya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,799
- 1,681
Bado kuna mambo mengu ya kuzingatia kabla ya maamzi sahihi:
1: Kupata historia yako kamili
Unaweza kuwa na matatizo ambayo binafsi hujayatambua ambayo haujayazingatia.
Mfano:
A:Unaweza kuwa na matatizo kama: Allergy/mzio(hivyo vumbi vyakula vya rangi isiyo asili ikawa ni chanzo).
B: Unaweza kuwa na tatizo la Reflux(Gastro Esophageal Reflux/GERD). Ambayo hurudi juu na kuathiri njia ya koo.
C: Tiba isiyotoshelevu ikihusisha kiasi cha dawa, aina ya dawa/?usugu na kiasi cha muda wa uchukuaji dawa.
2: Pia ni wakati wa kujua inatokea mara ngapi kwa mwezi au mwaka kwa wastani.
3: Kuangaliwa koo ili kuona mabadiliko yaliyopo kama kweli ni Tonsils au kuna kitu tofauti.
NB:
Kwa mazingiza haya, ni vyema kukutana na daktari bingwa wa koo(ENT) ili aweze kufanya majumuisho mazuri na tiba sahihi. Ukishindwa, pia daktari bingwa wa magonjwa ya ndani au daktari wa kawaida mwenye uzoefu mzuri anaweza kuwa msaada mkubwa kwako kwa kuanzia. Tiba njema.
nenda hospital nzuri yenye bingwa wa ENT (otolaryngologist), afanye maamuzi labda ya kuzitoa (Tonsillectomy) au vinginevyoHabari za majukumu wakuu, ndugu zangu nimekuwa nasumbuliwa na tonsils za upande wa kulia mda mrefu. Nimetumia antibiotics hasa amoxicillin kwa muda mrefu lakini zinarudia mara kwa mara. Nilishaacha hata kunywa vitu vya baridi lakini bado. Nina imani humu kuna wataalamu mbalimbali na wenye uzoefu naomba msaada wenu
nenda hospital nzuri yenye bingwa wa ENT (otolaryngologist), afanye maamuzi labda ya kuzitoa (Tonsillectomy) au vings
Ahsante kwa ushauri mkuunenda hospital nzuri yenye bingwa wa ENT (otolaryngologist), afanye maamuzi labda ya kuzitoa (Tonsillectomy) au vinginevyo
ππPiga tangawiz kaka
Hua wanazikwangua ila dah inauma hio balaanenda hospital nzuri yenye bingwa wa ENT (otolaryngologist), afanye maamuzi labda ya kuzitoa (Tonsillectomy) au vinginevyo
Au cefixime 400mgKunywa Penicillin mkuu
Shukurani mkuu HIV ni -ve ila h pyrol ninazoPole sana mkuu, kama tonsils zinajirudia means kuna kitu hakipo sawa usiendelee kutibia tonsils kwanza ebu fanya kupima h pyrol kwanza then test acid reflux (esophagram) na usiache kupima HIV
πππKwa upande wangu huwa nameza ampiclox kabla ya kulala, nikiamka asubuhi nakuwa fresh kabisa. Jaribu hizo pills
Helicopter Pyroli infection haihusiani na Tonsillitis, hapo culprit ni Streptococcus pyogenesShukurani mkuu HIV ni -ve ila h pyrol ninazo
Bado kuna mambo mengu ya kuzingatia kabla ya maamzi sahihi:Habari za majukumu wakuu, ndugu zangu nimekuwa nasumbuliwa na tonsils za upande wa kulia mda mrefu. Nimetumia antibiotics hasa amoxicillin kwa muda mrefu lakini zinarudia mara kwa mara.
Nilishaacha hata kunywa vitu vya baridi lakini bado. Nina imani humu kuna wataalamu mbalimbali na wenye uzoefu naomba msaada wenu
Mkuu pole kwa maradhi yako ya Tonsils nitafute kwa wakati wako ili nipate kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.Habari za majukumu wakuu, ndugu zangu nimekuwa nasumbuliwa na tonsils za upande wa kulia mda mrefu. Nimetumia antibiotics hasa amoxicillin kwa muda mrefu lakini zinarudia mara kwa mara.
Nilishaacha hata kunywa vitu vya baridi lakini bado. Nina imani humu kuna wataalamu mbalimbali na wenye uzoefu naomba msaada wenu
Ndo zinakuletea tonsils kama umepima nunua heligo kit kunywa on time kama bado watakuwepo Tumia combination ya clarothromycin kampuni ya claranta , afu kuna tinidazole na omeplazole hiyo combination huwezi kutest postive h pyrol tenaShukurani mkuu HIV ni -ve ila h pyrol ninazo