mswahili93
JF-Expert Member
- Apr 16, 2017
- 210
- 116
Asa we umesoma miaka ya 90's hukoo..enz hzo hamna hata kupata sap...we kavu kwlUna disco vipi?????unaanzaje Ku disco??? Sikuwahi pata hata sup wakati nasoma.Zwazwa hiloo
kwa hiyo wanaodisco au kupata maana yake hawanaakili???? kikubwa ungemuuliza tatizo ni nini ili umsaidie...ila kumwambia zwazwa inatafsiri wewe ni msomi au sio.....wasomi wanatoa ushauri na kusolve matatizo na si kuwakashifu watu...Una disco vipi?????unaanzaje Ku disco??? Sikuwahi pata hata sup wakati nasoma.Zwazwa hiloo
Ushaur consciousUshauri tu...
Ukiona umetingwa sana komaa hapo chuo ufanye acrobatic ya matokeo then omba open university. Ukifanikiwa kufanya haya basi utakua umejitengenezea safari ya kuendelea na chuo for the next academic year bila kurudia mwaka, itaonekana kama umehama chuo...
Kuhusu course, we pata chuo kwanza course itafahamika mbele kwa mbele.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahah..hata m mshangaa aiseee......au itakua amesoma EAGLE WINGS COLLEGE[emoji23]na wew zwazwa uko mtaani ...utamalizaje chuo usipate ata sup moja jiandae kisaikology...
[emoji23] [emoji23]Hahahahah ule wa K.K Tatu
Kavu bibi ako,sasa elimu ya sasa hivi mliorahisishiwa kila kitu utaifananisha na ya late 90's.we nae ZwazwaAsa we umesoma miaka ya 90's hukoo..enz hzo hamna hata kupata sap...we kavu kwl
Sent using Jamii Forums mobile app
Msomi gani alietoa ushauri labda niambie wewe? Hata darasa la saba anaweza kukushauri Hata asiesoma huwa anatoa ushauri. Ushauri kwa zwazwa!!!! Ushauri my footkwa hiyo wanaodisco au kupata maana yake hawanaakili???? kikubwa ungemuuliza tatizo ni nini ili umsaidie...ila kumwambia zwazwa inatafsiri wewe ni msomi au sio.....wasomi wanatoa ushauri na kusolve matatizo na si kuwakashifu watu...
na swala la kutopata sup inategemeana na vyuo labda ungetutajia chuo ulichokisoma
ni hayo tu my best friend
cc. maserati
Safi sana kwa kumshauri vizur mana humu kuna watu wanajifanya wajuaji na wako perfect hawajawah kukoseaMpe pole sana. Hiyo ni sehemu tu ya maisha.
Utaratibu ulikuwa ukidisco, utasubiri miaka miwili ndipo uruhusiwe kuomba kudahiliwa tena katika taasisi ya elimu ya Juu.
Hii ni pale usajili ulipokuwa chini ya TCU.
Kwa sasa sijajua, kwa sababu usajili hufanyikia moja kwa moja chuoni. Cha Msingi, aende akaombe kwa baadhi ya vyuo na kisha muone nini kitafata.
Aende Hata CBE,SUA,SAUT,TIA,JORDAN kokote atakakopenda yeye.Aende akatafute jina lako [emoji4]
Maserati/udsm/results [emoji23]
mkuu uko very confortable kwamba umesoma udsm..Msomi gani alietoa ushauri labda niambie wewe? Hata darasa la saba anaweza kukushauri Hata asiesoma huwa anatoa ushauri. Ushauri kwa zwazwa!!!! Ushauri my foot
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zwazwa huyo..
dada wewe msomi,hebu kuwa mfano ,tumia elimu yako kuokoa jamii yako au ulitaka umsaidie tu mawazo mdogo wako anapofail ??Una disco vipi?????unaanzaje Ku disco??? Sikuwahi pata hata sup wakati nasoma.Zwazwa hiloo
But itabidi ajilipie pasee. Mimi nilidisco nikabadili course nikatusua. Ni kutokata tamaa na kukamua kisawasawa.Wakuu poleni na majukumu.
Nina ndugu yangu hapa kashindwa kuendelea na chuo mwaka ujao wa masomo, alikuwa anachukua with education MKWAWA. Matokeo yake ya kidato cha sita mwaka 2015 ni
GEO B+
HIST B
ECO C
GS C
BAM F
1.ataruhusiwa kuaply tena chuo cha serikali kwa mwaka huu wa masomo?
2.je hapo anaweza chukua coz gani zenye soko?
Nawashukuru sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kukalili ..vyuo vingi hii wiki vimeanza toa matokeo .UDOM wametoa matokeo juzi hivyo huyo ni mhanaga wa UDOM
Shout out to you mkuu ...... Umetoa ushauri mzuri sana ...Nilidsco udsm na nikaapply udbs hapo hapo ni nikagraduate hapo hapo. So asikate tamaa kama wa kike mwambie aache mashoga na starehe za mijini. Kama kidume mpe hata vitasa akae sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3] tucheke wote mkuuAende akatafute jina lako [emoji4]
Maserati/udsm/results [emoji23]
SR imenikosa mara zote tatu na saivi naenda ya nnesr imemtema ujasi... pole ...