Kuna dada yangu amenijia kutaka ushauri,amegundua kuwa mume wake ametembea na rafiki zake wawili,house girl wake,wifi yake yaani mke wa kaka yake,mwanaume huyu katembea pia na dada zake wa kuzaliwa nae,wawili.majirani zao zaidi ya wanne.
pia inasemekana huko nyuma kabla hajamuoa huyu dada,alikuwa na mke mwingine,ambapo alitembea na mama mzazi na dada wa huyo mke,pia aliwahi kufanya mapenzi na kichaa.amejaribu kufanya hesabu wanawake waliozini ni mume wake ni zaid ya 200.
Na mume huyu amekiri mwenyewe kwa kinywa chake baada ya kufanyiwa maombi.sasa anaomba msamaha akidai kuwa kulikuwa na nguvu iliyokuwa inamsukuma kufanya mambo hayo.maana mbali ya kufanya mapenzi na watu wote hao,pia alikuwa na tabia ya kujichua kwa kutumia picha za wanawake aliokuwa akikutana nao njiani,au wale waliokuwa wanamkataa,ingawa anadai alikuwa hakataliwi akimtaka mwanamke.wamo wake za watu wengi tu.
Huyu dada ananiuliza je amsamehe?au afanyeje?maana analia na kusema alikuwa hajitambui.Nawaomba ndugu zangu,nisaidieani,nimshauri vipi?
thank you haitoshi lizzy ila nakupa mia kwa mia.kwa mtazamo wangu,umeandika pointAisee....maajabu ya dunia hii ni mengi kweli!Too bad kila tunalokosea tunamsingizia shetani wa watu na mapepo utadhani hua yanawashika watu mkono kuwapeleka kusiko!
Kuhusu kama amsamehe au lah inabidi uwe ni uamuzi binafsi bila uchochezi kutoka kwa mtu yeyote maana leo na kesho akija kutembea na mwanae lawama zisije zikamwendea aliyeshawishi msamaha utolewe!Dada afikirie ni kiasi gani anampenda mumewe...kama anamwamini kuhusu kubadilika na ni kwa kiasi ganu yuko tayari kukutana na mengine ya ajabu zaidi huko mbeleni ikiwa mume hajabadilika ndo ajue kama amsamehe na kuendelea nae au amsamehe na kusonga mbele!!
Pole yake!
thank you haitoshi lizzy ila nakupa mia kwa mia.kwa mtazamo wangu,umeandika point
Kuna dada yangu amenijia kutaka ushauri,amegundua kuwa mume wake ametembea na rafiki zake wawili,house girl wake,wifi yake yaani mke wa kaka yake,mwanaume huyu katembea pia na dada zake wa kuzaliwa nae,wawili.majirani zao zaidi ya wanne.
pia inasemekana huko nyuma kabla hajamuoa huyu dada,alikuwa na mke mwingine,ambapo alitembea na mama mzazi na dada wa huyo mke,pia aliwahi kufanya mapenzi na kichaa.amejaribu kufanya hesabu wanawake waliozini ni mume wake ni zaid ya 200.
Na mume huyu amekiri mwenyewe kwa kinywa chake baada ya kufanyiwa maombi.sasa anaomba msamaha akidai kuwa kulikuwa na nguvu iliyokuwa inamsukuma kufanya mambo hayo.maana mbali ya kufanya mapenzi na watu wote hao,pia alikuwa na tabia ya kujichua kwa kutumia picha za wanawake aliokuwa akikutana nao njiani,au wale waliokuwa wanamkataa,ingawa anadai alikuwa hakataliwi akimtaka mwanamke.wamo wake za watu wengi tu.
Huyu dada ananiuliza je amsamehe?au afanyeje?maana analia na kusema alikuwa hajitambui.Nawaomba ndugu zangu,nisaidieani,nimshauri vipi?
4 PRINCE
Kulikuwa na nguvu................................. Hajitambui............................. Like really??
When will women learn that enough is enough !?? In my opinion husbands lacking consequences in this society of ours for their disgusting actions such as above is what encourages these men kuendelea kufanya upuuzi kama huu!!!!
kivuli hakina rangihuwezi kuambiwa na mtu kumsamehe isipokuwa wewe mwenyewe na moyo wako na pia uwe umeridhika na mabadiliko ya mumeo.
endelea kufwatilia tabia yake kwa karibu kujua kama ameachana na tabia mbaya aliyonayo..............inawezekana ameona tabia yake imegundulika sasa ameamua kuzuga kubadilika