Naomba msaada, ndoa imekua ndoana

Naomba msaada, ndoa imekua ndoana

Mimi kabla sijaolewa mama yangu alikataa kabisa kuolewa mke wa pili, kiwastani wamama wengi hawapendi watoto wao waolewe mke wa pili. Ila kama unamoyo wa kuwasaidia wasaidie tu.
 
Mshirikishe na mke wako wa kwanza uone anakushaurije maana huko ndo mliapa kusaidiana ktk maisha!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom