G
guest-1790917349
Guest
So achana njia nyingine hizo utaongezewa nguvu za giza tu na mapepo juu!Kweli kabisa
Maombi ni mhimu lkn pia kuijua kweli,ufundishwe uweze kujisimamia na kujiombea mwenyewe ni vzr zaidi!
Karibu!
So achana njia nyingine hizo utaongezewa nguvu za giza tu na mapepo juu!Kweli kabisa
Unapata tatizo la moyo..watch outHabari zenu wadau, mimi naomba kujuzwa njia ya kujikinga na hawa wachawi wanaonitesa usiku, yaani unakabwa hadi ukishtuka unaona kichwa hakiko sawa, nimechoka sana na hawa wanga.
Naomba msaada niepukane na hili janga jamani.
Habari zenu wadau, mimi naomba kujuzwa njia ya kujikinga na hawa wachawi wanaonitesa usiku, yaani unakabwa hadi ukishtuka unaona kichwa hakiko sawa, nimechoka sana na hawa wanga.
Naomba msaada niepukane na hili janga jamani.
Miss chaga,upo mpenzi?sali sana ..
Nipo mpenziMiss chaga,upo mpenzi?
Nenda kwa watunishi wa Mungu waliosimama Kiroho wakuongoze sala ya Toba
dah mnapenda kumpa mizigo ya kujib yesu siki ya kiama nyie hivi haya mapokeo hua mnayaelewa kwel?? hapo ulivojib ni sawa na kusema yesu ni MunguWote ni kitu kimoja kama unavyoweza kuitwa mwalimu au ukaitwa kwa jina lako halisi.
Kumbe wachawi hawatumii kitimoto na bangi?Pole sana mkuu fanya hivi kama imani yako inakuruhusu lala na mfupa wa nguruwe chumbani kwako hicho kiumbe hakito ingia tena. Au kama unatumia hii kitu wanaita bange pasi ipulize kabla ya kulala ule moshi utapakae ndani ila si lazima uvute cha msingi ni moshi wake tu so utaangalia namna ya huo moshi kutoka ukifanya hivyo hawatokusumbua tena. Tahadhari wanga na wachawi wengine ni member wa jf so angalia wanaweza kuja na coment zao za kukupotesha ili wazidi kukufanyia ushenzi.