Rais2020
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 3,248
- 5,537
Fuatilia hapo mkuu kuhusu tatzo lako
Nipigie simu pls. Nakutafuta sana nina shida hapo ofisini kwenu, namba yako nilipoteza na siwezi kukutumia PM.sali sana ..
wambie waje kwangu nina hamu sanaHabari zenu wadau, mimi naomba kujuzwa njia ya kujikinga na hawa wachawi wanaonitesa usiku, yaani unakabwa hadi ukishtuka unaona kichwa hakiko sawa, nimechoka sana na hawa wanga.
Naomba msaada niepukane na hili janga jamani.
mhNipigie simu pls. Nakutafuta sana nina shida hapo ofisini kwenu, namba yako nilipoteza na siwezi kukutumia PM.
OkeyNipigie simu pls. Nakutafuta sana nina shida hapo ofisini kwenu, namba yako nilipoteza na siwezi kukutumia PM.
Hamu ya nini???wambie waje kwangu nina hamu sana

sipendi mambo yako yakunichekesha ovyoUwe unajikaba kabla ya kulala harafu leo wana kukaba kesho watakubaka
Unamchanganya!Mkubwa Mshana njoo huku msaada Kitabu cha Yoshua bin Sira (31:27-29) kinasema: ”Kwa wanadamu mvinyo ni kama maji ya uzima, ukinywa kwa kiasi. Je, anao uzima gani mtu asiye na mvinyo? Nayo imeumbwa ili kuwafurahisha wanadamu. Mvinyo ni furaha ya moyo na changamko ya roho, ikinywewa kwa wakati wake na ya kutosha. Lakini kunywa mno ni uchungu wa roho, na fedheha, na ugomvi.”ako ni muhimu sana hapa.

Labda ametoroka bandaniPopo bawa yuko kizuizini pemba usimpe kesi bure.
Asipokuelewa nitashangaaAcha ujinga huo, hakuna wachawi wala kukabwa, njia ni moja tu
Usipende kulala huku ukiwa umeshiba sana, lala masaa matatu baada ya kula hutaona hizo ndoto.
Kweli kabisaUzuri ww ndo unaelewa unavyoteseka!
Hakuna kitakachokusaidia zaidi ya Yesu blv mi!