Naomba msaada nahitaji kujijengea utamaduni wa kusoma vitabu

Mie uchezaga na audiobooks

Nilianzaga na RICH DAD POOR DAD
Rich dad poor dad Robert Kiyosaki Audiobook



Download it as audio uenjoy, mie kusoma word to word uwa sinaga vibe kabisa.



Group la telegarm
 
Mie uchezaga na audiobooks

Nilianzaga na RICH DAD POOR DAD
Rich dad poor dad Robert Kiyosaki Audiobook



Download it as audio uenjoy, mie kusoma word to word uwa sinaga vibe kabisa.

Hivi unawezaje kumakinika na AUDIO unapoisikiliza
 
Hivi unawezaje kumakinika na AUDIO unapoisikiliza
Learning styles watu utofautiana sana.

Good thing about audiobooks ni kwamba you don't have to set muda maalum wakusoma. Ila that idle time unapokuwa labda kwenye foleni ama kwenye daladala, ukiwa unatembea unaweza kuwa unakula nondo through earset au radio ukiwa katika ndinga lako.


Nimepata madini yakutosha kutoka katika mamia ya vitabu kupitia njia hii ya audiobook.

Now katika playlist yangu ni kitabu "The Master Key System 1912" by Charles Haanel.
 
Duh hata mi natamaan pia ila sijui nianzie wapi..

Careen... Ukipata muongozo mwanana naomba unishirikishe kwa kuniPM tafadharii... Tugawane maarifa tafadhali
 
Naanzaje sasa
Ameamaanisha jua wewe ni nani, unataka nini, passion yako, malengo yako...kutokea hapo utajua usome nini huitaji Guidance.

Mfano mimi kulingana na kitabu changu lazima nisome kitabu kama kile cha I Can I Must.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom