Naomba msaada mwenye notes za advance za History na Geograph

Mmavele jr

Senior Member
Aug 14, 2014
130
53
Naomba kwa mwenye nots za history au geography anisaidie pliz au kama kuna web naweza kupata hizo nots
 
Duuh kwa ushauri tu
Kuna mastering hapo na zisti kamili. Alafu kwa history two unaweza tafuta materials kwenye Internet maana ni European content it's available kwenye Internet

Geography wewe tumia Msabila na David Waugh na zisti kamili for practical geography
 
Naomba kwa mwenye nots za history au geography anisaidie pliz au kama kuna web naweza kupata hizo nots

kijana me na full notes za history paper one and two uje utoe copy tu based on new syllubus coz nilicopy hadi syllubus
 
Geography (physical) tafuta essential of physical geography R muller,An integrated approach by D.Waugh ,Physical geography a landscape appreciation 9ed by Tom l macknight
 
Mm ninazo notes za History 2 na Geography 2,,uko wapi tufanye mchongo mm nipo Moshi
 
watoto wa siku hizi bwana
hapo unposoma huna walimu,marafiki nk
hebu changamsha akili dogo
 
Back
Top Bottom