Naomba msaada, Mbegu zangu zinatoa harufu mbaya

Naomba msaada, Mbegu zangu zinatoa harufu mbaya

Hiki kizazi cha nyoka haki tena. Unakuwa na muda wa kunusa mbegu aisee acheni Polepole awe na sauti.
Inaonekana we uko bze sana, hii ni kwa ajili ya afya mbona ni kitu cha kawaida sion ajabu yake
 
Kapime maradhi yote ya zinaa kama kichocho kaswende kisonono mkanda wa jesh nk pia kunywa maji mengi sana juice ya tende ilio loekwa na maziwa chukua kuzi bara vijiko saba chemsha na maji lita moja na nusu kunywa nusu glas kutwa mara mbili kwaushari zaidi na kujua chanzo kiundani nipigie 0710 271 852
 
yani unanusa sperm zako !!! siku nyingine si utalamba [emoji23]
anyway huwa wanasema ukiwa hivo kula balanced diet na unywe maji mengi sana.
mwisho nakusihi sana acha kunusa sperm maana tutakupoteza
Haaah mwenye kujua amsaidie, haaaaaah maana mpaka kaaanza kunusa, kweli haamini kama zinazonuka ni zake haaaah.
 
Mkeo ukizipokea hizo mbegu tumbo linamuuma??hapati discharges baada ya muda??kama ndio mngefanya culture kujua ni bacteria infection au la
Tumbo linamuuma alafu anaanza kutoka harufu mbaya
 
Jamani naombeni msaada mbegu zangu zinatoa harufu mbaya

Hii hali inanikosesha mpaka comfidence ya kugegeda. Wife wangu ni msafi kwakwel na hata mwenyewe ni msafi kilichonipelekea nijue mbegu zangu n hatari nikizimwaga nje na kuzinusa zinanuka vibaya hasa

Shida nkimwaga ndani wife anaumwa tumbo halafu sasa zinaanza kutoka ukeni na ile ile harufu mbaya. Naona ananipa moyo ila naona anachoka haniambii tu.

Msaada
Daktari wanasemaje?
 
UDS siyo std.
Utakuwa na UDS hii ni STD mbaya usipoiwahi ikakuwahi utakuwa na hali mbaya sana

Wanawake wanavumilia mengi, unammwagia mwenzio acid nayeye anapokea tu anasema hakuna shida

Hata Komodo hanuki sperm aisee
 
Mtoa uzi ana Avatar ya kike hapo ndo nazidi kuchanganyikiwa.
Duh
Deleted...kuna mtu alihoji kwenye masihara mwenye uzi alikuwa akijiita cutie kwenye mada ya masihara kabadili jina na huku pia kaufuta after kujulikana...aise what are the benefit of these all!
 
Back
Top Bottom