Naomba msaada matumizi ya hizi alama

Naomba msaada matumizi ya hizi alama

Shilewashile

Senior Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
121
Reaction score
48
Namba msaada wa hizi alama katika uandishi wa habari ndefu 🙂 ,; ! # . / ....<>) ili niweze kuandika habari au barua kwa usahihi.
 
si kila alama ya uandishi ni lazima iwe katika kila mfumo wa lugha dunia nzima....alama ulizofundiswa na mwalimu wako wa darasa la kwanza na pili katika somo la mwandiko ndo hizohizo kama unataka kujua alama zingine ni jukumu lako kuzunguka madarasa ya nchi mbalimbali ili uweze jua hizo alama kwa usahihi...!!!
 
Back
Top Bottom