Mtu akija kufuatilia kesi ya ndugu yake mahakamani, utafnyaje?Nawasalimu kupitia jina kuu lipitalo majina yote.
Kesho kutwa Kuna interview ya polisi naomba mwenye uzoefu ili bwana mdogo akajaribu bahati yake.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.!
Duh kwanini mkuu unasema hivyo? Hebu tupe uzoefu hapo mkuuMoja kati ya kazi za kipumbavu nilizowahi kufanya ni kuajiriwa na Jeshi la Polisi Tanzania,namshukuru Mungu nilikuja kuacha kwa kutoa notisi ya masaa 24
Mkuu kama tumeangaliziana!Mtu akija kufuatilia kesi ya ndugu yake mahakamani, utafnyaje?
Jibu: piga vunja miguu
Nimeona majina ya vijana wengi wenye degree za udaktari, uuguzi, ufamasia maabara sheria na taaluma nyingine nyingi wameitwa kwenye usaili. Kwahyo una nini cha kuwaambia mkuuKazi ya lawama
Kazi ya amri
Usimshaur mtu aende
Mwache aende mwenyewe
Pia je unawaza kukamata rungu na kuvunja ugoko?Mtu akija kufuatilia kesi ya ndugu yake mahakamani, utafnyaje?
Jibu: piga vunja miguu
Utampeleka wapi kuvunj ugokoPia je unawaza kukamata rungu na kuvunja ugoko?
Waache wamechagua wenyeweNimeona majina ya vijana wengi wenye degree za udaktari, uuguzi, ufamasia maabara sheria na taaluma nyingine nyingi wameitwa kwenye usaili. Kwahyo una nini cha kuwaambia mkuu
Alafu mshika dau dizain nakuona na wewe ni mmoja wao.Keyboard fighters watakuja na maneno ya kejeli, ila mtoa mada naomba uwapuuzie
You did right brother, japokuwa nilikuwa wa taasis nyingine maarufuMoja kati ya kazi za kipumbavu nilizowahi kufanya ni kuajiriwa na Jeshi la Polisi Tanzania,namshukuru Mungu nilikuja kuacha kwa kutoa notisi ya masaa 24