Naomba msaada laptop imepoteza brightness control

Nzowa Godat

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2011
Posts
2,785
Reaction score
824
Wana JF laptop yangu imepoteza uwezo wa kuongeza au kupunguza brightness baada ya kubailisha window 7 home pentium, version ya microsoft office 2010 kwenda window 7 ultimate version ya 2007 wakati wa ku-partition. spec. ni Dell Inspiron M5040 AMD speed ni 1.65GHz, ram 4.00Gb na hdd ni 582Gb. Naomba msaada mafundi.
 
yah, connect net then update ur windows 2 problem solved haichukui hata 5mins its done!!
 
Nenda kwenye device manager uone km vga drivers ziko installed km hazipo download kwa kuita aina ya window uliyo install na ina ya Laptop yako
 
Back
Top Bottom