naomba msaada kwenye wireless internet | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naomba msaada kwenye wireless internet

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by nyahenge, Jun 22, 2012.

 1. nyahenge

  nyahenge Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  wadau, natumia wireless internet ya ofisini ambayo natakiwa kulog in kwa user name yangu na password yangu. hawa jamaa wa it wameweka restrictions na hakuna kutumia mitandao ya kijamii kama facebook na jamii forum. pia hakuna kudownload torrent files. nifanyeje niweze kuacess facebook, jamii forum na kudownload torrent files?
   
 2. h120

  h120 JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 1,805
  Likes Received: 1,381
  Trophy Points: 280
  jaribu kutumia ultrasurf nayo ni kiboko kwa bypassing filters
   
 3. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  mkuu you dont wanna loose your job!! there is a way but i do not reccomend doing it!! couse kama unalog in using ur own username and pass ya ofisi obviously i think whatever goes out and comes in, need to go through office servers first then ndo ije kwako!! beside they could check your event logs on your computer also!!!

  pia i guec kutakuwa na watu wanamonitor the network!! so increase ya network traffic could mean something to them
   
 4. tcoal9

  tcoal9 JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 5, 2009
  Messages: 255
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ambayo utaipata hapa

  Muhimu zingatia ushauri wa Zasasule ​
   
 5. nyahenge

  nyahenge Member

  #5
  Jun 23, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  thanks h120, zasasule and tcoal9. je naweza kutumia hiyo wireless pasipo kulog in maana naweza kuconnect lakini huwezi kusurf pasipo kulog in
   
 6. leh

  leh JF-Expert Member

  #6
  Jun 23, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  kama mheshimiwa alivyosema, kama network imefungwa, kutakuwa na IT supervisor na hata ukiweza kubypass security aliyoweka, MAC adress ya wifi yako itakuidentify hata usipo log in. ningekushauri usijaribuchochote unless u dont love ur job
   
 7. nyahenge

  nyahenge Member

  #7
  Jun 23, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  thank you for your advice leh. i appreciate.
   
 8. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Sasa kama uongozi wameamua kufanya hivyo why wewe wataka kufanya tofauti? Kwani moden ni sh ngapi??? Why unataka ku-risk kazi yako kiasi hicho. Modem ya internet ni pesa kidogo tu.
   
 9. nyahenge

  nyahenge Member

  #9
  Jun 24, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  mkuu sehemu niliyopo ni porini mno kiasi kwamba mtandao angalau ninaoweza kuacess internet ni tigo tu nayo ni edge, nina modem zote lakini hazina faida katika mazingira haya na ukizingatia kutumia internet full time kwangu ni kawaida so with limitations najiona mfungwa. anywe nimeyakubali yote maana kazi nayo bora zaidi kuliko hilo nilifikiri kulifanya.
   
Loading...