Siku Naipata Nilitembea mkono Mfukoni Isije Kuyeyuka Maana Adi Naipata Ni Balaaa[emoji23] [emoji23] Kwa kweli hili suala la passport liangaliwe mara mbili, wanatuambia ni haki ya kila mtanzania kuwa na passport lakini kiuhalisia haipo hivyo yani passport bila safari kupata ni ngumu sana na hata ukiwa na hiyo safari mpaka uje uipate ni kwa mbinde sana vilevile!!
Leta barua ya mchungaji wako...!Hudaiwi bank statement hiyo sio visa ukiona ni shida andika unaenda kwa shughuli za kidini.
Huko kwenye biashara si kuna vigezo pia... Maana mimi nakumbuka walinidai Tiketi ye ndege goo ende ritani...Tumia akili,Fanya hivi omba passport assume unaenda nchi za Africa mashariki jaza kati ya hizi Kenya au unganda dhumuni la safari andika biashara utakuwa umemaliza zingatia usiende uhamiaji umevaa kihuni vaa uhusika wa mfanyabiashara kijana utapata passport haraka tu.goodluck.
Yaaani Kila Sehemu Wanabana AniiHuko kwenye biashara si kuna vigezo pia... Maana mimi nakumbuka walinidai Tiketi ye ndege goo ende ritani...
Yaani nimpaka nilikumbuka ule wa wa Dr.John wa Uhamiaji
Yaaani Kila Sehemu Wanabana Anii
Yaaani Acha Tuu Pasipoti Inakua kama Vile Ya Watu Special Ivi Kila Sehemu Wanataka Barua Ya Mualiko ama TiketiiLeta barua ya mchungaji wako...!
Hichi Ndicho cha Msingii maana na mimi alinambia Bro tafuta milioni moja Nakupa Ndani ya masaa24Cha msingi tafuta rafiki mmoja hapo wa Uhamiaji mkabidhi mawe akufanyie kazi
Hichi Ndicho cha Msingii maana na mimi alinambia Bro tafuta milioni moja Nakupa Ndani ya masaa24
Ata Laki Unapata Chapu Uhamiaji Njaa MkuuKah. Hiyo 1.parefu sana hapo.
Yena wakisikia hivyo watakugombania wengi sana.
Yaani hapo ukiwa na 300k mambo yote yanaisha. Hiyo Milioni unaomba leseni ya Kuchimba Madini...
Mh laki hapana. Maana sasa hivi gharama za serikali ni 170000.Ata Laki Unapata Chapu Uhamiaji Njaa Mkuu
Mkuu Si Ungetoa Ujanja Hapa hapa Kwa Faida Ya Wengii
Mimi Total Cost Ilikua 150000Mh laki hapana. Maana sasa hivi gharama za serikali ni 170000.
Ambapo 20000 maombi
150000 malipo ya Passport.
Haya MkuuNaogopa kumwaga mchele
Mh laki hapana. Maana sasa hivi gharama za serikali ni 170000.
Ambapo 20000 maombi
150000 malipo ya Passport.
Ooooooooh okey.Umekosea kidogo mkuu.
Ombi la mwanzo(Online)-20,000/=
Ukirudisha form -130,000/=
Jumla kuu -150,000/=
Hapana tatizo linaanza pale unapojaza form wengi wanajaza kwa kukosea sana ndio maana wanakutana na usumbufu kule pia appearance ya kile anachoombea passport unakuta haviendani nimejazia wengi sana hizo form include mm mwenyewe,Kama huwezi jaza uliza usaidiwe ila sio kwamba utadaiwa kila kitu Kama mnavyodhani.Yaaani Acha Tuu Pasipoti Inakua kama Vile Ya Watu Special Ivi Kila Sehemu Wanataka Barua Ya Mualiko ama Tiketii
Nilijaza Na Viambata ni Muhimu na Lazima UulizweHapana tatizo linaanza pale unapojaza form wengi wanajaza kwa kukosea sana ndio maana wanakutana na usumbufu kule pia appearance ya kile anachoombea passport unakuta haviendani nimejazia wengi sana hizo form include mm mwenyewe,Kama huwezi jaza uliza usaidiwe ila sio kwamba utadaiwa kila kitu Kama mnavyodhani.
Ni jumla ni 150,000,application 20,000 then 130,000Mh laki hapana. Maana sasa hivi gharama za serikali ni 170000.
Ambapo 20000 maombi
150000 malipo ya Passport.