1. Huyo ni mwalimu tayari, cheki namba ndio kila kitu na mshahara unaingia.
2. Hizo shule za Ufundi hazijaanza leo tangu miaka ya 60/70 huko Iyunga, Ifunda, Bwiru, Mtwara Tech, Tanga Tech n.k zilikuwepo na zilikuwa zinaajiri watu wa DIT, MTC, ATC, UDSM na wengine hadi kutoka nje ya nchi kufundisha ufundi.
3.Kitendo cha kutaka kutoroka kwenye interview bila ruhusa ya wakuu wake wa kazi kitamtokea puani huyo mdogo wako. Hao wakuu wakiungana kumnyoosha ataita maji mma.
4.,TSC kama wamesema asome post graduate mwaka mmoja kuna ubaya? Open University ipo kwa ajili ya watu kama hao. Pia vyuo kibao vina distance learning na evening programme.