Afanye anachopenda.Habari wakuu Naamini kbsa JF ni home of great Thinker.
Bila kupoteza muda twende kwenye mada...
Atulie kazin kwa hichohicho kidog anachopata.... kuitwa interview siyo kupat hiyo tamaa itamponzaHabari wakuu Naamini kbsa JF ni home of great Thinker.
Bila kupoteza muda twende kwenye mada
Kuna Mdogo wangu kaajiriwa ualimu (ajira za mwaka Jana) hali ya kuwa yeye ni Muhandisi (Engineer) na anafundisha shule ya ufundi.
Ameomba ajira za uhandisi umeme Tamisemi na ameitwa Kwa ajili ya usahili trh 13/11/2021.
Aliipitisha barua Kwa mkuu wa shule then kwa afisa elimu na mkurugenzi toka trh 10/11/2021.
Mpaka dead line walikua goma kumsainia (afisa elimu ) sababu ni kua ajathibitishwa Kazini ,
Dogo akaenda Kwa afisa utumishi jibu alilopewa kua hawezi kumruhusu kisa atalaumiwa ukipatika upungu eneo lake la kazi., Pia atawabania wenzake nafasi [emoji28] ikitokea atapata.
Dogo ikabidi atume ivo ivo Siku ya dead line (aliandika barua bila kupitisha uko) na jambo zuri ni kua ameitwa kweny interview Dodoma
Sababu ya Dogo kutaka kazi hii
1) Ni ndoto yake na ni kitu alichosomea
2) TSC chama cha walimu hakiwatambui kwaiyo hawezi kupanda madaraja na kupata stahiki za kiualimu
3) Hawezi kuthibitishwa kazini Kwa sababu hana TSC number pia hamna muongozo wowote juu ya hatma yao (labda wakasome crush program) kumbuka kasoma 4 year tofauti na walimu walio soma 3 year.
Wakuu ushauri wenu ni muhimu juu ya hili
Je akafanye interview na akifanikwa kupita kwenda oral ile index number yake ya form 4 itamuonesha alipo na utata unaweza kuanzia apo.
Karibu sna wakuu anzie wapi?
Asanteeee umemjibu vizuri sana.....asituchanganye vichwa1.Alipataje nafasi huko na yeye si mwalimu haliyakuwa walimu wapo wengi mtaani na vigezo vyao wamekosa?
2. Huko alikopeleka hiyo barua bila kusainiwa na ikapitishwa hadi kuitwa kwenye enterview kuna nani huko?
USHAURI:
Connection aliyoitumia hadi kupata kazi ya awali ya ualimu na connection aliyoitumia hadi barua yake kupitishwa hadi kuitwa basi nguvu ya connection hiyo hiyo aitumie kwenda kwenye kazi ya ndoto yake.
Walimu wengine wasubiri mtaani.
Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
1.Alipataje nafasi huko na yeye si mwalimu haliyakuwa walimu wapo wengi mtaani na vigezo vyao wamekosa?

Mkuu walihitajika walimu wa ufundi shule za technical eg, Mtwara tech , iyunga , Tanga tech ect ..
Na kama unavojua shule za ufundi zilikua taabani so waka opt kuwaajiri waliosomea ufundi(umeme , ujenzi ect) Kwa maana ya Bachelor na Diploma za ufundi na sio walimu 100%, Kwa maana walio somea Technical education.
Kufika uko TSC haiwatambui sijui unaona changamoto anayopitia yani hawezi kupanda madaraja ect
Afisa utumishi yuko sawa yaaan wew umeajiliwa mwak jana,,, mwaka huu uache gep
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Kwani si asome hata post graduate ya education chap. Awe na kakoz ka ualimu Ila hasitoke kwenye mfumo huku mtaan watu wanaozea benchNi ajira ambayo umepewa check number tu hata mkataba hawajajaza na kuthibitishwa haijulikani
Wale walio somea ualimu wamejaza mkataba na kufika mwezi wa 12 wanathibitishwa
1.Alipataje nafasi huko na yeye si mwalimu haliyakuwa walimu wapo wengi mtaani na vigezo vyao wamekosa?
2. Huko alikopeleka hiyo barua bila kusainiwa na ikapitishwa hadi kuitwa kwenye enterview kuna nani huko?
USHAURI:
Connection aliyoitumia hadi kupata kazi ya awali ya ualimu na connection aliyoitumia hadi barua yake kupitishwa hadi kuitwa basi nguvu ya connection hiyo hiyo aitumie kwenda kwenye kazi ya ndoto yake.
Walimu wengine wasubiri mtaani.
Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
Atulie kazin kwa hichohicho kidog anachopata.... kuitwa interview siyo kupat hiyo tamaa itamponza
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Kwani si asome hata post graduate ya education chap. Awe na kakoz ka ualimu Ila hasitoke kwenye mfumo huku mtaan watu wanaozea bench
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Daaaah kwahiyo TSC kukutambua ni mpaka kozi yako iwe ya EDUCATION, AU WITH EDUCATION? Njee ya hapo hawakujui au nimeelew vibaya
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
TSC inakutambua kama umesoma kozi za ualimu.Daaaah kwahiyo TSC kukutambua ni mpaka kozi yako iwe ya EDUCATION, AU WITH EDUCATION? Njee ya hapo hawakujui au nimeelew vibaya
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app