Naomba msaada kwa watumiaji waliobobea kwenye iPhone

Hellow guys,

Msaada kidogo; nataka niwe natumia iMassege tu, yaani mtu akitaka kunitumia text most awe na bando kama ana bando zisifike kwangu.

Anayejua ku-set, please.
Afu utakuta uko na 6S Sasa hio Ni Kama zile za tecno ambayo mwenye tecno mwenzio ndo mnaweza chat au zile za Opera mwenye Opera ndo mnaeza chat
 
Unazarau wewe fala wewe kama unapesa [emoji23]
 
Back
Top Bottom