Kalunguine
JF-Expert Member
- Jul 27, 2010
- 2,543
- 134
wadau ninaomba msaada, nataka kutumia adobe photoshop cs3 kupunguza size ya digital photo ( passport) kuwa na 132width, 185height na weight ya 4kb. nimefaulu kupunguza width na height nakwama kupunguza weight kuwa 4kb maana automatically napata weight kuwa 24kb nifanyeje