kama una interest ya utafiti zaidi, hiyo biotech ni nzuri. kwa sababu ni fani inayochipukia huku kwetu,so competition ni ndogo sana. microbiology kuna watu wana certificate hadi phd. so hata nafasi za kusoma ni kazi. jilipue na hiyo biotech uje usaidie wadau hapa,wamechakachuliwa watoto hadi wamekoma,lol