Naomba msaada kwa waliokwishatumia Android OS KWENYE PC

Naomba msaada kwa waliokwishatumia Android OS KWENYE PC

SuperImpressor

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
1,505
Reaction score
649
Nilijaribu kuweka Bluestacks lakini inahitaji 2GB RAM ambayo mashine yangu haina. Sasa naomba kujua kwamba ukishaweka hiyo bluestacks ni nini kingine kinachohitajika au ni kuanza kuweka applications.
 
unaeka tu apps.

alternative tumia youwave haina limit ya 2gb
 
Asanteni wakuu ngoja nisake hiyo youwave tuone kama bundle langu la mb litatosha kuishusha
 
Back
Top Bottom