Wazo la kabwela
JF-Expert Member
- Feb 13, 2013
- 1,883
- 1,465
Eti kama hauna cheti cha form 6 kwa wale wa form 6 2014 na una result slip tu unaweza kufanyiwa usajili?? Mimi hadi sasa cheti sijapata kwani kilitumwa posta muda alafu posta wakakirudisha baraza. Sasa hadi sasa baraza wananizungusha tuu je niripoti tu au?