Naomba...msaada kwa hili

luckers

Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
64
Reaction score
2
Sory...kwa kuvamia jukwaa sababu kubwa ni kukosa majibu ya uhakika ktk jukwaa husika...
Naomba kuuliza kama kuna mtu anauzoefu na kununua simu online anajulishe tuwasiliane nae tufanye biashara nahitaji smartphone nimeona online kunaunafuu ila sijui nitaipataje na vip kuhusu kuripia number zangu ni 0752628466...au unaweza kuweka number zako hapa afu mm ntakupigia naomba mnisaidie wapendwa
Ahsanten sana
 
haya ngoja waje kukusaidia..ukishaipata nipe mim hiyo unayotumia saivi ..maana haka kanokia kangu ka touch kamechakaa...dah...nisaide best..
 
haya ngoja waje kukusaidia..ukishaipata nipe mim hiyo unayotumia saivi ..maana haka kanokia kangu ka touch kamechakaa...dah...nisaide best..
Blessed is the hand that giveth, than the one that taketh (Lucky Dube)
 
Mwihadisa said:
Blessed is the hand that giveth, than the one that taketh (Lucky Dube)

MHH..HAPA UMENIACHA MKUU..MI NIMEISHIA LA NNE..TULIKUWA TUNASOMA VITABU VYA ADILI NA NDUGUZE...NAOMBA UFAFANUZI TAFADHALI...
au ndo umemwambia asinipe..hahahhhh natania..
 
 
hapo nimeelewa..basi ili wote tupate baraka aje tubadilishane..nimpe haka kangu alafu yeye anipe yake...au unaonaje???
 
poa naisubilije ..jamani hebu wajuzi wa hii njooni haraka .mpeni mwongozo mwezenu...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…