Naomba msaada kwa hili wadau

Joined
Jul 13, 2016
Posts
9
Reaction score
4
Naomba ufafanuzi juu ya kuomba vyuo!!

Nimemaliza dip mwak 2014 na overall GPA yang ni 3.7. Nishaomba mkopo Loans Board.

Kama nijuavyo kwetu sisi tuliomaliza dip tunafanya maombi kupitia NACTE lakini NACTE walishafunga.Vipi naweza omba kupitia TCU au baadae NACTE wataruhusu tena watu kuomba?
 

I NEED HELP not HELPING
 
Maombi yote ya shahada mwaka huu yanafanyika kupitia TCU. Rejea www.tcu.go.tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…