Naomba msaada kwa hili wadau

Jul 13, 2016
9
4
Naomba ufafanuzi juu ya kuomba vyuo!!

Nimemaliza dip mwak 2014 na overall GPA yang ni 3.7. Nishaomba mkopo Loans Board.

Kama nijuavyo kwetu sisi tuliomaliza dip tunafanya maombi kupitia NACTE lakini NACTE walishafunga.Vipi naweza omba kupitia TCU au baadae NACTE wataruhusu tena watu kuomba?
 
Naomba ufafanuz juu ya kuomba vyuo!! Nimemaliza dip mwak 2014 na overall gpa yang n 3.7 nishaomba loan bod on Kama nijuavyo mm kwetu cc tuliomaliza dip tunafanya maomb kupitia nacte na Nacte walishafunga vp naweza,omba kupitia TCU au baadae Nacte wataruhusu tena watu
kuomba

I NEED HELP not HELPING
 
Naomba ufafanuz juu ya kuomba vyuo!! Nimemaliza dip mwak 2014 na overall gpa yang n 3.7 nishaomba loan bod on Kama nijuavyo mm kwetu cc tuliomaliza dip tunafanya maomb kupitia nacte na Nacte walishafunga vp naweza,omba kupitia TCU au baadae Nacte wataruhusu tena watu kuomba
Maombi yote ya shahada mwaka huu yanafanyika kupitia TCU. Rejea www.tcu.go.tz
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom