Habari za asubuhi wadau.
Kama kichwa kijielezavyo hapo juu, ninaomba msaada kwa anayejua soko la kuuza asali. Ninayo asali kwa wingi ya nyuki wakubwa lakini tatizo ni soko sijui niipeleke wapi. Kuna baadhi ya watu waliniambia kuna waarabu dar wanachukua lakini hawakuniambia wako maeneo gani.
Tafadhari kwa anayejua soko lilipo.
Natanguliza shukrani.