T timbilimu JF-Expert Member Sep 2, 2010 4,866 1,518 Jan 20, 2012 #21 Ndibalema said: Utafkiri anatuma sms bana!! Click to expand... kwa aina ya maandishi yake sijui hata hiyo kazi ameipata vipi! napata shida hata kuelewa kama ni msomi wa ngazi ya chuo.
Ndibalema said: Utafkiri anatuma sms bana!! Click to expand... kwa aina ya maandishi yake sijui hata hiyo kazi ameipata vipi! napata shida hata kuelewa kama ni msomi wa ngazi ya chuo.
Radhia Sweety JF-Expert Member Aug 10, 2011 4,434 1,765 Jan 20, 2012 #22 Vyuo vya kata vimetuharibia wadogo zetu sana. Wewe kama hujamaliza St John's basi itakuwa Arusha University.
Vyuo vya kata vimetuharibia wadogo zetu sana. Wewe kama hujamaliza St John's basi itakuwa Arusha University.
B Baba Dorcas Member Jan 15, 2012 83 5 Jan 20, 2012 Thread starter #23 Radhia Sweety said: Vyuo vya kata vimetuharibia wadogo zetu sana. Wewe kama hujamaliza St John's basi itakuwa Arusha University. Click to expand... Haya bana!
Radhia Sweety said: Vyuo vya kata vimetuharibia wadogo zetu sana. Wewe kama hujamaliza St John's basi itakuwa Arusha University. Click to expand... Haya bana!
B Baba Dorcas Member Jan 15, 2012 83 5 Jan 20, 2012 Thread starter #24 timbilimu said: kwa aina ya maandishi yake sijui hata hiyo kazi ameipata vipi! napata shida hata kuelewa kama ni msomi wa ngazi ya chuo. Click to expand... Na bahat yenu computa imesaidia kurahisisha handwritng za watu, vngnevo hata hcho kdogo mlichosoma kwenye thread yangu sijui km mngekipata! Ajikwezaye atashushwa. Her yenu mlosomea international universty! Hekoo!
timbilimu said: kwa aina ya maandishi yake sijui hata hiyo kazi ameipata vipi! napata shida hata kuelewa kama ni msomi wa ngazi ya chuo. Click to expand... Na bahat yenu computa imesaidia kurahisisha handwritng za watu, vngnevo hata hcho kdogo mlichosoma kwenye thread yangu sijui km mngekipata! Ajikwezaye atashushwa. Her yenu mlosomea international universty! Hekoo!