Kwao wao waongeao na Mungu watusaidieNikuongezee ugumu wa maswali unayojiuliza.
Idadi ya siku katika wiki na urefu wa siku unategemea upo wapi. Ukiwa sayari nyingine, mfano Mars, wiki haina siku saba au masaa 24 kwa siku moja kama hapa duniani. Swali la ziada kwako, wakati Mungu anaumba mbingu na nchi alikuwa amesimama duniani hadi uumbaji wake uhesabiwe kwa muda na masaa ya hapa duniani? Hizo siku saba na mfano hiyo jumamosi ni ya hapa duniani au ya sayari ya Neptune?? Au ni wapi?
Wayahudi wanasali JumamosiKwa anaye lielewa hili jambo kwa kina anisaidie nami kulielewa.
Tunasema Mungu aliumba mbingu, nchi na vilivyomo kwa siku sita na siku ya saba akapumzika, hiyo siku ya saba ni Jumamosi ambayo Wasabato kupumzika. Lakini siku hiyo ya saba iko termed ni Jumamosi kwa maana ni siku ya kwanza kutokana na neno mosi kumaanisha moja.
Siku moja nilimsikia Sheikh akisema siku sahihi ya kupumzika kwa mujibu wa maandiko ni Ijumaa ambayo ni siku ya saba katika wiki.
Ukija upande huu mwingine tunasali Jumapili tukisema ndiyo siku ya mapumziko. Swali ni kwamba ni nani alirekodi hizo siku na kuja na siku hizo mtofautiano wa mapumziko ya Mungu? Nini siri iliyopo nyuma ya mtofautiano huo?
Natanguliza shukurani kwa wachangiaji chanya wote
Ubarikiwe sana Mtumishi nimekuelewa vilivyoWayahudi wanasali Jumamosi
Wasabato wanadali Jumamosi
Wakristo wengine ni Jumapili
Waislamu ni Ijumaa
Katika dhana za kihistoria inasemekana Jumamosi ndio siku ya Saba. Kwa sababu Warumi walipinga ukristo, kipindi hicho walikuwa wanaabudu Jua, ukristo ulivyokomaa ikabidi watengeneze namna ya ku-blend in na ukristo ikabidi jumapili siku yao igeuzwe kuwa ndio siku ya wakristo tena waliokuwa wakatoliki.
Wakristo wengine wakaona miyeyusho, wakajitenga na kuanzisha madhehebu mengine kwa sababu waliona kama Ukristo unapotoshwa, ndio mpaka leo tuna madhehebu mengi kwa sababu kila mmoja anamuona mwenzake kuna sehemu anakosea...
Wasabato ndio wakaja na kuamua kurudisha Jumamosi kuwa ndio siku ya saba... Ndio maana ya neno wasabato (Seventh Day Adventists au Sabbath Day Adventists) wakiwa na maana ya kuilinda siku ya saba
Haujajibu hoja na wala hauna uelekeo wa kujibu hoja zaidi ya kutaka kupromote usabato tu. Rudi kwenye hoja kuu za madaWayahudi wanasali Jumamosi
Wasabato wanadali Jumamosi
Wakristo wengine ni Jumapili
Waislamu ni Ijumaa
Katika dhana za kihistoria inasemekana Jumamosi ndio siku ya Saba. Kwa sababu Warumi walipinga ukristo, kipindi hicho walikuwa wanaabudu Jua, ukristo ulivyokomaa ikabidi watengeneze namna ya ku-blend in na ukristo ikabidi jumapili siku yao igeuzwe kuwa ndio siku ya wakristo tena waliokuwa wakatoliki.
Wakristo wengine wakaona miyeyusho, wakajitenga na kuanzisha madhehebu mengine kwa sababu waliona kama Ukristo unapotoshwa, ndio mpaka leo tuna madhehebu mengi kwa sababu kila mmoja anamuona mwenzake kuna sehemu anakosea...
Wasabato ndio wakaja na kuamua kurudisha Jumamosi kuwa ndio siku ya saba... Ndio maana ya neno wasabato (Seventh Day Adventists au Sabbath Day Adventists) wakiwa na maana ya kuilinda siku ya saba
Wewe kichwa nazi ndio hujaelewa... Niliyemjibu kaelewa na kasema Asante... Wewe kipara ngoto unakuja na kubisha hoja zangu ukihisi natetea usabato... Kwanza mimi sio msabati, mimi ni mlutherani (Lutheran), lakini hiyo ndio fact... Soma Historia vizuri dogo, acha kuendeshwa na Udini na umadhehebu... Soma Historia ya kuanza kuabudu jumapiliHaujajibu hoja na wala hauna uelekeo wa kujibu hoja zaidi ya kutaka kupromote usabato tu. Rudi kwenye hoja kuu za mada
Ok, jibu basi hoja ya msingi basi. Usihame kwenye mada. Lengo langu ni hilo tu kukurudisha kwenye mada mkuu. I'm sorry kwa kukukwaza.Wewe kichwa nazi ndio hujaelewa... Niliyemjibu kaelewa na kasema Asante... Wewe kipara ngoto unakuja na kubisha hoja zangu ukihisi natetea usabato... Kwanza mimi sio msabati, mimi ni mlutherani (Lutheran), lakini hiyo ndio fact... Soma Historia vizuri dogo, acha kuendeshwa na Udini na umadhehebu... Soma Historia ya kuanza kuabudu jumapili
Sisi tunatumia mfumo wawiki kwa siku za karabu ndoman siku ya saba ni ijumaaKwa anaye lielewa hili jambo kwa kina anisaidie nami kulielewa.
Tunasema Mungu aliumba mbingu, nchi na vilivyomo kwa siku sita na siku ya saba akapumzika, hiyo siku ya saba ni Jumamosi ambayo Wasabato kupumzika. Lakini siku hiyo ya saba iko termed ni Jumamosi kwa maana ni siku ya kwanza kutokana na neno mosi kumaanisha moja.
Siku moja nilimsikia Sheikh akisema siku sahihi ya kupumzika kwa mujibu wa maandiko ni Ijumaa ambayo ni siku ya saba katika wiki.
Ukija upande huu mwingine tunasali Jumapili tukisema ndiyo siku ya mapumziko. Swali ni kwamba ni nani alirekodi hizo siku na kuja na siku hizo mtofautiano wa mapumziko ya Mungu? Nini siri iliyopo nyuma ya mtofautiano huo?
Natanguliza shukurani kwa wachangiaji chanya wote
mtu anayekomaa na suala la Sabato , ni mtu ambaye hajaelewa dhana ya Ukristo. mara nyingi wanakimbilia kusema hakujaa kutengua bali kuikamilisha Sabato. hii ni kujifariji lakini ukiielewa dhana ya Ukristo huwezi kukomaa na sabatoWayahudi wanasali Jumamosi
Wasabato wanadali Jumamosi
Wakristo wengine ni Jumapili
Waislamu ni Ijumaa
Katika dhana za kihistoria inasemekana Jumamosi ndio siku ya Saba. Kwa sababu Warumi walipinga ukristo, kipindi hicho walikuwa wanaabudu Jua, ukristo ulivyokomaa ikabidi watengeneze namna ya ku-blend in na ukristo ikabidi jumapili siku yao igeuzwe kuwa ndio siku ya wakristo tena waliokuwa wakatoliki.
Wakristo wengine wakaona miyeyusho, wakajitenga na kuanzisha madhehebu mengine kwa sababu waliona kama Ukristo unapotoshwa, ndio mpaka leo tuna madhehebu mengi kwa sababu kila mmoja anamuona mwenzake kuna sehemu anakosea...
Wasabato ndio wakaja na kuamua kurudisha Jumamosi kuwa ndio siku ya saba... Ndio maana ya neno wasabato (Seventh Day Adventists au Sabbath Day Adventists) wakiwa na maana ya kuilinda siku ya saba
Inategemea waswahili waliotunga hizi majina za siku walikuwa na mitazamo gani kwa kipindi hicho, sijawahi kupata maana kwanini waliita jumamosi ndio siku ya mosi. Kuanzia Ulaya hadi Uarabuni siku ya kwanza ni jumapili.Kwa anaye lielewa hili jambo kwa kina anisaidie nami kulielewa.
Tunasema Mungu aliumba mbingu, nchi na vilivyomo kwa siku sita na siku ya saba akapumzika, hiyo siku ya saba ni Jumamosi ambayo Wasabato kupumzika. Lakini siku hiyo ya saba iko termed ni Jumamosi kwa maana ni siku ya kwanza kutokana na neno mosi kumaanisha moja.
Siku moja nilimsikia Sheikh akisema siku sahihi ya kupumzika kwa mujibu wa maandiko ni Ijumaa ambayo ni siku ya saba katika wiki.
Ukija upande huu mwingine tunasali Jumapili tukisema ndiyo siku ya mapumziko. Swali ni kwamba ni nani alirekodi hizo siku na kuja na siku hizo mtofautiano wa mapumziko ya Mungu? Nini siri iliyopo nyuma ya mtofautiano huo?
Natanguliza shukurani kwa wachangiaji chanya wote
njoo kanisani, kanisa la full gospel bible fellowship, alhamisi saa10 jioni nitakuepo ofisini kwaajili yako na Jambo lako,Kwa anaye lielewa hili jambo kwa kina anisaidie nami kulielewa.
Tunasema Mungu aliumba mbingu, nchi na vilivyomo kwa siku sita na siku ya saba akapumzika, hiyo siku ya saba ni Jumamosi ambayo Wasabato kupumzika. Lakini siku hiyo ya saba iko termed ni Jumamosi kwa maana ni siku ya kwanza kutokana na neno mosi kumaanisha moja.
Siku moja nilimsikia Sheikh akisema siku sahihi ya kupumzika kwa mujibu wa maandiko ni Ijumaa ambayo ni siku ya saba katika wiki.
Ukija upande huu mwingine tunasali Jumapili tukisema ndiyo siku ya mapumziko. Swali ni kwamba ni nani alirekodi hizo siku na kuja na siku hizo mtofautiano wa mapumziko ya Mungu? Nini siri iliyopo nyuma ya mtofautiano huo?
Natanguliza shukurani kwa wachangiaji chanya wote
Mleta mada akikuelewaa nipo pale kwenye handaki la hamas GazaaaNikuongezee ugumu wa maswali unayojiuliza.
Idadi ya siku katika wiki na urefu wa siku unategemea upo wapi. Ukiwa sayari nyingine, mfano Mars, wiki haina siku saba au masaa 24 kwa siku moja kama hapa duniani. Swali la ziada kwako, wakati Mungu anaumba mbingu na nchi alikuwa amesimama duniani hadi uumbaji wake uhesabiwe kwa muda na masaa ya hapa duniani? Hizo siku saba na mfano hiyo jumamosi ni ya hapa duniani au ya sayari ya Neptune?? Au ni wapi?
Kikakao cha mwishoo na Mud pale makha tulikubaliana lugha ni mojaaa Tu ya kiarabu mbinguni kwa Allah......Qur'an 2:255. Mwenyezi Mungu - hapana mungu ila Yeye Aliye hai, Msimamia mambo yote milele. Hashikwi na usingizi wala kulala. Ni vyake pekee vyote viliomo mbinguni na duniani. Ni nani huyo awezaye kuombea mbele yake bila ya idhini yake? Anayajua
yaliyo mbele yao na yaliyo nyuma yao; wala wao hawajui chochote katika vilio katika ujuzi wake, ila kwa atakalo mwenyewe. Enzi yake imetanda mbinguni na duniani; na wala haemewi na kuvilinda hivyo. Na Yeye ndiye aliye juu, na ndiye Mkuu. 255
Mazoea ya Kikristo ya kuadhimisha Jumapili kama Sabato, inayojulikana kama Siku ya Bwana, yanatokana na mapokeo ya kidini badala ya kuhusishwa na tukio la Yesu. Jumapili ilipitishwa kuwa siku ya ibada na pumziko kwa Wakristo kwa sababu inahusishwa na ufufuo wa Yesu Kristo.Haujajibu hoja na wala hauna uelekeo wa kujibu hoja zaidi ya kutaka kupromote usabato tu. Rudi kwenye hoja kuu za mada