richy17
Member
- Apr 1, 2012
- 57
- 4
Heshima kwenu wana jamvi. Naomba msaada kwa mwana jamvi yoyote anayeifahamu kwa undani simu ya Maxwest z5. Je! ni simu nzuri in general ?.
kweli ikiwa mpya kwenye box inaweza fika 950,000 pesa za kitanzania?
Mwenye kuijua hii simu au commodity za maxwest naomba anijuze.
cheers!!
kweli ikiwa mpya kwenye box inaweza fika 950,000 pesa za kitanzania?
Mwenye kuijua hii simu au commodity za maxwest naomba anijuze.
cheers!!