Naomba msaada kuhusu kujitolea kazi ya kujitolea

Naomba msaada kuhusu kujitolea kazi ya kujitolea

Mr Beach Boy

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
1,702
Reaction score
5,115
Nilikuwa nauliza hivi, nimemaliza chuo Mwezi huu..

Matokeo bado hayajatoka mpaka mwezi wa nane.
Je kwa mfano nataka kuandika barua mahali Fulani nikiwa na Lengo la kujitolea...

Nina takiwa kuambatanisha kitu gani ili kuthibitisha kuwa na taaluma ya kazi husika??

Ahsante karibuni kwa ushauri mzuri
 
Inategemea na sehemu,kuna sehemu nyingine wanaitaji wakuone, nyingine barua ya chuo , nyingine hata ya field
 
Dr issue ni kwamba matokeo ya semester six bado siunajua tena mnma
Okay Ila pia Andika barua vizuri then kachukue provision result utalipia kama 5K .

Then nakutakia majukumu mama Temeke kuna crisis nyingi za unyanyasaji pamoja na ndoa .
 
Back
Top Bottom