Naomba msaada kuhusu kompyuta yangu

Naomba msaada kuhusu kompyuta yangu

Joined
Jul 6, 2013
Posts
22
Reaction score
1
Hey wadau naomba msaada kwenu, mi bado mchanga kwenye fani hii Naombeni msaada ktk chili Computer yangu ni mpya ila nikiplay audio au vidio inaniambia haina haina audio device name hats kwenye icon ya volume imewekwa alama ya mute but nikiplag in earphones zinatoa sauti so nn tatizo?
Name vp Ku unlock Huawei modem?
 

Attachments

  • UC_Photo_001.jpg
    UC_Photo_001.jpg
    56.8 KB · Views: 105
Ku unlock iyo modem weka full details wakuu wakusaidie... ni ya aina gani, etc kwenye iyo desktop ni win gan in run? afu je ina spika kama zipo angalia kwenye setting bios kama audio or sound device ziko enabled.. usaidiwe
 
hilo sio tatizo kama lugha unajua vizuri maana yake hakuna kifaa cha kutoa sauti sasa wewe unataka computer itoe sauti wakati speaker hakuna wewe weka speaker utaona inatoa sauti na hiko kialama kinatoka
 
Kwani hiyo desktop ina spika? Inabidi ununue spika uchomeke unapochomeka hizo headphones.

Kama inazo speaker na hazifanyi kazi basi drivers zitakuwa hazifanyi kazi vizuri.
 
fungua audio setting ktk control panel then chek sehemu iliyo mute then una i an mute.thats all mkuu
 
Hapo ambavho huna ni kitu kinaitwa drivers, yani drivers za sound card yako, unachotakiqa kufanya sasa kwanza tueleze unatumia operating system gani, windows, basi windows ipi?? na je una internet kwenye hiyo mashine maana utahitaji kudownload hizo drivers
 
Back
Top Bottom