umeongea vitu kwa kuchanganya, lakini hainashida.
Ikiwa unayosema nikweli kwamba tajiri ambae ulipaswa kumfanyia kazi alikwisha lipwa pesa na shtaka likafutwa kinachoombwa tena hapo Ili shtaka lifutwe, nishtaka gani?
ikiwa mlalamikaji ambae nishahidi muhimu alikwisha lipwa pesa yake.
kwakifupi hapo hakuna kesi labda ujanja ujanja tu wakutaka kukupiga.
kwahio Hana anachoweza kufanya katika Hilo.