M12 Member Joined Jan 21, 2015 Posts 63 Reaction score 30 Feb 5, 2015 #1 Natumia bluestack kuingia whatsapp lakini inajizima yenyewe naweza nikawa nimeifungua naitumia lakini nikiacha kuitumia kwa sekunde kadhaa inajizima mpaka niifungue tena upya. Inachotaka nisipumzike hata kidogo niendelee kuitumia tu.
Natumia bluestack kuingia whatsapp lakini inajizima yenyewe naweza nikawa nimeifungua naitumia lakini nikiacha kuitumia kwa sekunde kadhaa inajizima mpaka niifungue tena upya. Inachotaka nisipumzike hata kidogo niendelee kuitumia tu.
PRISCUS JR JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 448 Reaction score 236 Feb 5, 2015 #2 Achana na bluestack, Whatsapp wametoa window version itafute google.
deejaywillzz JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 637 Reaction score 224 Feb 5, 2015 #3 Jaribu kuangalia kama ume install proper graphics driver ya PC yako