Akupatie hiyo moja!?kazi mbili ufisadi
hiyo ya PHTS 13-14 inaanza na basic salary ya 1.9 milions. hiyo ingine sijui
Nenda iyo ya College ndo inascale kubwa kuliko iyo ya mkemia apo nikaribu na 1.5M
Songíto;6064873 said:pamoja sana chief... asante kwa dokezo
Na sisi huku tunamchukua mtu mwingine,maana hatuna uhakika naye..Kumbe umepata kwengine!!,, ngoja huku tukuondoe.. tunashkuru kwa ushirikiano wako
Songíto;6064868 said:asante chief pamoja sana
PHTS 13-14 Ni zaidi ya 2.2m wakati hiyo nyingine ni kama shs 1.2/m