jofizo
Member
- Nov 5, 2016
- 35
- 8
Habari zenu wakuu nimeombaa Transfer DIT lakini siku ya kwanz nilimkuta Muhasibu akanambia niandike barua alafu nirudi siku inayofuata.
Niliporudi nilimuon Registrar lakini registrar alinambia pako full ila barua ilibaki nikaenda kuomba Chuo cha Ardhi, sasa leo DIT wamenambia nafasi ipo nikachukue Admission Letter.
Vipi sasa ardhi wakinikubalia naweza kupiga chini Transfer moja?