Kama anajihisi paka hapo alipofika bado hajanufaika, ni ngumu sana kwangu kumshauri. Nisubiri wengine wanaweza nishauri namna ya kumshauri.Ninae mdogo wangu anasoma HGL Sasa ananiomba ushauri aende coz gan after there ambako ni rahisi kunufaika na elimu yake?
KARIBU KWA MANI