Naomba msaada Jinsi ya kuset ZUKU

Naomba msaada Jinsi ya kuset ZUKU

successor

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2012
Posts
3,084
Reaction score
6,155
Salaam Wakuu!

Naomba kuelekezwa jinsi ya kuset Zuku. Nafahamu kuset Dstv lakini Zuku sijawahi. So naomba kujua frequency za kuikamatia.

Natanguliza shukrani zangu za dhati
 
Salaam Wakuu!

Naomba kuelekezwa jinsi ya kuset Zuku. Nafahamu kuset Dstv lakini Zuku sijawahi. So naomba kujua frequency za kuikamatia.

Natanguliza shukrani zangu za dhati

jaribu kutembelea Lyngsat

Ila kwangu its does not make sense nizibe pancha ya Pikipiki wakati mtaani wanafanyia jero tu kazi imeisha

same applies hapa

Hainiingii akilini kwa nn uumize kichwa wkati vijana wanafunga dish kwa 5,000/ mpaka 20,000/= mtaani

Wape haki yao bwana 😎
 
kati ya vin'amuzi rahisi ni ZUKU tumia freq hizi hapa 11804h 27500.ni rahisi kama kukojoa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom